BONYEZA HAPA NJOO WHATSAPP KWA MSAADA ZAIDI
Mbinu ya kufanya namba yako isipatikane hewani.
Fanya hivi. * 21*0027# then OK
Kurudi on air Fanya hivi ##21# then OK
FAIDA ZAIKE
1.utakuwa na uwezo wa kumpigia sim mtu yeyote
isipokuwa wewe kupigiwa
2. Utaweza kuchati na mtu yeyote bila wasi
3. Ukitumiwa sms zitaingia kama kawaida na
unaweza Ku' respond
4. Huduma internet kama kawaida
HASARA
1. Kila akutafutaye ataambiwa namba unayoipigia
imefungiwa kwa sasa!
#share ujumbe huu uwafkie wengine zaidi.