💨Wengi watakua wanaijua hii!
Yawezekana unatumia simu kusomea au kufanya mambo mengine mbali mbali.
Umeingia mtandaoni, umekutana na website ambayo unataka kuchukua Screenshot! Lakini,
Ile website au app ni ndefu kiasi kwamba inakubidi u-scrow chini kuchukua screenshot..
Nyingine!Badala ya kufanya hivyo, simu zetu zimeturahisishia.
Unaweza kupiga screenshot moja ndefu ya ku scrow mpaka chini!Sio hivyo tu!
Simu nyingine kama Samsung, hukuwezesha kurudi directly kuwenye website uliyopiga screenshot kwa kubonyeza link kutoka kwenye
Itakayokuwezesha kupiga screenshot ndefu, ambapo utabonyeza na kuendelea kubonyeza mpaka utakapofikia sehemu unapotaka kuishia.
Kwa iPhone ni tofauti kidogo!
1. utabonyeza kawaida kama unachukua screenshot
2. Kisha bonyeza Prevew ambayo iko kwe ye kona ya kushoto kabla..Haijaondoka.
3. Kisha bonyeza "Full page option" juu kwenye corner.
▪︎ "Full page option" itatokea tu pale ambapo umepiga screenshot ya sehemu unapotaka ku-scrow chini
4. Hapo utaona page yote ambapo utaweza kui-edit kabla ya kui-save.
5. Kisha bonyeza done kama umemaliza