Download Application ya mange Kimambi PLAYSTORE au APPSTORE
Bonyeza hapa kudownload App ya Mange Kimambi
Ukimaliza Kudownload Utafungua Application yako utajisajili kwa kujaza Taarifa hizi
![]() |
Utabonyeza hiyo Sehemu iliyoandikwa Kujisajili/Register
Ili kufungua Account Kwa Mange Kimambi App
Baada Ya kubofya hapo itakuleta eneo hili hapa
Kwenye Kisanduku Cha kwanza Utaweka Jina lako unalotaka Kutumia kwa mfano
Warden,Warden13 ukiweka jina moja likakataa utatakiwa kuongeza Number mbele Mfano WARDEN13,WARDEN01 nk
Kisanduku cha 2 weka Password Yako Rahisi ambayo hautasahau
Kama hapo Kwenye picha
Hatua inayo fata baada ya kujisajili ni hii hapa
Itafunguka na itakuleta eneo hilo hapo utajaza Email Yako 📧
Mfano Wardenng86@gmail.com hadi kufika hapo utakuwa umekamilisha zoezi la kufungua Account ya Mange Kimambi App
Sasa ili kuitumia Account utatakiwa ulipie
Kiasi cha cha kulipia ni sh 2,300/= TZS kwa Mwezi
Sh 7,000/=TZS kwa miezi 3
Sh 12,000/=TZS kwa miezi 6
Sh 23,000 kwa miezi 12
Kwenye Swala la Kulipia ndo kikwazo kwa watu wengi sasa hapa nifatilie kwa makini ili nikwelekeze namna ya kulipia Package moja wapo ya Mange Kimambi App..
HATUA YA KWANZA
1:Utabonyeza Package unayotak kama ni Ya mwezi sh 2,300/= TZS utaibonyezaThen itakuleta hapa
Itakuleta eneo hilo unachotakiwa kufanya ni kubonyeza
Huo mshale apo kama nilivyoelekeza kwenye PichaUkisha bonyeza huo mshale itakuleta eneo hili hapa
Sehemu iliyoandikwa Add credit au debit Card kma nilivyoonyesha hapo kwenye picha Ukisha bonyeza hapo itakuleta eneo hili hapa utatakiwa kujaza Taarifa za Card Yako kama unazo
Kama hauna Card ntakwelekeza namna Ya kupata Card Yako kupitia mtandao unaotumia
AIRTEL, TIGO,VODACOM,
JINSI YA KUTENGENEZA CARD YA MASTERCARD NA VISA CARD
Hapo utaweka Number yako ya Card
Inaweza kuwa Visa Card au Mastercard Ukishajaz number yako ya card itakuletea kuweka Mwezi na Mwaka wa card ku Expire
Mfano hapo Kwenye
MM/YY utawek mwez wa Card kuexpire mfano mwez wa 03 mwaka 2024
03/24
Kwenye Kisanduku cha kulia kilichoandikwa CVC utatakiwa kuweka password nayo utapewa baada ya kutengeneza Card Yako ya Mastercard au VISA
So kama itaomba password ya simu yako utaweka baada ya kuweka utakuwa umefanikisha kulipia Package Yako🤙
Na wakati unalipia hakikisha kwenye lain yako uliyotumia kufungua Card kuna Hela inayohitajika kufanya malipo
Kama ni hyo Package ya 2,300/=TZS utatakiwa kuwa na sh 2600 kwenye simu kwa sababu kuna hela ya makato
Kwenye Card ya Visa Card yenyewe utatakiwa kabsa kuweka hela kwenye Card yenyewe ipo tofauti na Card Mastercard
Ukishindwa kulipia njoo Whatsapp nikusaidie kufanya malipo
Nicheki kwa number 0699 181 313