MASTERCARD MTANDAO WA TIGO
Kutengeneza Card ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo haiitaji Gharama Yoyote Ile. Ili kuitumia Card Yako ya Mastercard kwa Mtandao wa Tigo itakubidi uweke Salio kwenye Lain Yako Ya Tigo ili uweze kufanya malipo Ya kimtandao.
Uzuri wa hizi Card unaweza kufanya malipo sehemu Yoyote ile Duniani na hii ina wafavor sana wale ndugu zangu wa kununua Bidhaa Online kupitia Kikuu,Albaba,A.expless,Amazon nk.
UTAPATAJE HII CARD YA MASTERCARD?
Ni Rahisi sana, fatana na mimi kupitia picha hizi hapa chini ili uweze kuelewa namna Ya kutengeneza Card
Hatua Ya kwanza (1)
Hatua Ya pili (2)
NB:kwenye Maelekezo hapo nimechagua Matumizi ya mara moja,Ambayo Card itafanya kazi kwa Siku 7 Tu then ita Expire
Ila wew unawez kuchagua matumiz Ya siku 90 yan Miezi 3 ya Kutumia Card Yako. Miezi hyo 3 ikiisha utatakiwa kutengeneza Card nyingne ili uweze kuendelea na Matumizi Yako kwa sababu baada Ya miezi 3 inaexpire.
![]() |
Endapo utapata changamoto kwenye kufungua Card unaweza Wasiliana nasi kwa msaada
Bonyeza hapa kama unahitaji msada
JINSI YA KUTENGENEZA CARD YA MASTERCARD KWA MTANDAO WA AIRTEL
Kwa Mtandao Wa AIRTEL Imekuwa Tofauti kidogo kwa sababu ili Uweze kupata Huduma Ya Mastercard ni lazima ulipie sh 2,000/= ili uweze Kutengeneza Card
Kwa Hiyo kabla hujaenda Kutengeneza Card hakikisha kwenye lain yako Haukosi sh 2,300/= kwenye account ya AIRTEL Money 💰
Fata Hatua Hizi ili uweze kutengeneza Card ya Mastercard kwa Lain ya AIRTEL
Hizo Ndo Hatua za Kutengeneza Card Ya Mastercard ikitokea umekwama kwenye Kutengeneza Card Bonyeza hapa kwa Msaada Zaidi
NJISI YA KUTENGENEZA VISA CARD KWA MTANDAO WA VODACOM
Kutengeneza VISA Card Ni Bure kabsa ila itakuhitaji wewe mtumiaji wa Card ya VISA uweke Hela kwenye Card baada ya kuitengeneza ili uweze kupata Taarifa za Card Yako
Naposema Taarifa Namaanisha
●Card Number
●MM/YY
●CVV
hela unayotakiwa kuweka ni kwanzia sh 1,000 tu na yenyewe utaikuta kwenye Card yako baada Ya kuweka hela kwenye Card utapewa Taarifa zako🙃🤙
FATA HATUA HIZI KUTENGENEZA VISA CARD
Hatua Ya Tatu (3)
Fata hizo Hatua kukamilisha kutengeneza Card,Hatua Ya mwisho itakuhitaji kuweka hela ili uweze kupata Card Details
Uzuri wa VISA Card yenyewe unaitumia kwa Mda mrefu zaidi Ya mwaka 1 ni tofauti Na MASTERCARD