Je, wewe ni blogger au web designer? kama wewe ni blogger au web author na umechoka na tabia ya watu wengine kukopi post zako na kutumia kwenye blogs zao au webs zao hii hapa ni njia pekee ya kuzuia post zako zisikopike:-
kama unatumia blog..login kwenye blog yako alafu nenda kwenye layout sehemu ya kuadd gadget..add gadget ya html/javascript baada ya hapo copy na paste hizi code:<script type="text/javascript">
var omitformtags=["input", "textarea", "select"]
omitformtags=omitformtags.join("|")
function disableselect(e){
if (omitformtags.indexOf(e.target.tagName.toLowerCase())==-1)
return false
}
function reEnable(){
return true
}
if (typeof document.onselectstart!="undefined")
document.onselectstart=new Function ("return false")
else{
document.onmousedown=disableselect
document.onmouseup=reEnable
}
</script>
Unapofanya hivyo ukiwa unajua kwamba mtu haweza Copy tena kiurahisi ujue anapoteza tu muda.
Kama ukishindwa kucopy hizo HTML CODE nitxt whatsapp nikutumie